Kumbukizi ya Jesus Glory (JG)
Wapendwa,
A. Siku kama ya leo 09 Juni mnamo mwaka 2013 Huduma ya JESUS GLORY ilianza IBADA za INJILI DAY katika Huduma yake ya KUFIKA KUSIKOFIKIWA. Mgeni rasmi katika ibada hii alikuwa Askofu Mwinjilisti Moses Kulola. Hii ilikuwa IBADA yenye lengo na ina lengo la kueleza mambo muhimu mawili (2):
1. Injili inaweza kufanya nini (what Gos...






