Mkurugenzi mkuu wa Jesus Glory (JG) Margareth Kamugisha tarehe 20/04/2021 alihubiri na watu saba (7) wakiwemo wanafunzi sita (6) na mmasai mmoja (1) wakaokoka na kukiri kuwa Yesu ndio mwokozi wa maisha yao. Tunamshukuru Mungu sana na Yesu kwa Wokovu wake. Tuwaombee waweze kusimama katika imani.
Kwa maana Mungu aliupenda ulimwengu kiasi cha kumtoa Mwanae pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele.
